EA. RAP PODCAST
our story
Podikasti ya kila wiki mjini Mombasa inayojadili muziki wa hip-hop wa Pwani, iwe ya nyumbani haijasikika au inajulikana sana, ikiwa ni GUD VIBE itachezwa kwenye kipindi chetu. Pia tunawasilisha washiriki, vikundi, wafanyakazi na vita katika maonyesho yetu. Utapata chati kumi bora, elimu ya hip-hop, na zaidi. Skiza sasa. Catchup every Saturday live and Tuesdays for new episodes
Never miss an episode
Subscribe wherever you enjoy podcasts:

King Paraah Interview Pwani hiphop Podcast – PWANI HIP-HOP FLAVA Podcast
Pwanihiphopflava show | interview 002Skiza kutoka kwa kp. , msanii wa pwani aliyekua akifanya hiphop wenye mdundo wa trap na baadae kubadilisha nakuamua kufanya Swahili rap. King paraah aliwezakujieleza mbona aliamua kubadilisha, nini kinamfanya anapambana, changamoto anazopitia, mafua anayopitia kama mwana mzikii, ndo zake zakuleta independent rapping na mengi…..Kp alihojiwa na T "Mikindani music blogger" na unaweza kuskiliza show zengine za Pwanihiphopflava katika link ulipewa :

OUR STORES
I’m more for the style than the brand. I don’t go brand shopping; I go detail shopping.
Popular Products from our brands
ROKA BAGS AFRIKA

Roka Backpack
KSh1,950.00

Roka Camera Bag
KSh4,500.00

Roka Duffle Bag (Large)
KSh1,950.00

Roka Lunch Box
KSh1,200.00
DSB CLOTTHING






BABA DOGO ART & CRAFTS



wanna shop kiko, neckless, arm wears, kitchen artifacts and more around Nairobi, baba dogo. we do delivery around kasarani, kariobangi upto dandora. make your order now!

